Pages

Monday, March 3, 2014

MWANZA NA MBEYA WAULA NA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI

 Mshindi wa Samsung Galaxy tab3 kutoka Tunduma Mbeya Vedastus Kalinga akionesha zawadi yake mara baada ya kukabidhiwa mwishoni mwa wiki jijini Mbeya.
 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti kanda ya kusini Lumuli Msika(kushoto)akimpongeza mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti Julius Chao kutoka Mbeya mara baada ya kumkabidhi king'amuzi katika hafla fupi iliyofanyika jijini Mbeya.
 Meneje Masoko wa eneo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Charles Masonga(kushoto) akimkabidhi zawadi ya king'amuzi mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti  Deus P. Mwikitalu kutoka Buhongwa jijini Mwanza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki,anayeshuhudia ni Meneja Mauzo wa eneo hilo. 

Meneje Masoko wa eneo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Charles Masonga (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu aina ya samsung Galaxy tab3 mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti Mwl. Jacob Nnko, 36,kutoka Nansio Ukerewe katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki

Saturday, February 22, 2014

TAZAMA PICHA ZAIDI YA 20 JINSI DIAMOND ALIVYOFUNIKA JIJINI MWANZA KWENYE SHOW YAKE

 Tukitoka hotelin kuelekea viwanja vya furahisha,ilipofanyikia show


 Zamu yetu ikawadia
















 Nikamaliza hivi...!!!
 Huyu binti mdogho kwa mapenzi kabisa 
,hakuona taabu kupenya msongamamno
 wa watu ili tu apate kunisalimia...

TAZAMA PICHA ZA DIAMOND NA CREW YAKE WAKIWA NDANI YA MWANZA


 Tulifikia kwenye hotel ya Gold crest,na bada ya
 kuwasili  kama ilivyo ada yangu,ilinibidi nifanye 
mazoez kwanza kuweka viungo sawa na wakati huo
 vijana wangu waliutumia,kupata chakula cha asubuhi.

 Dumy,Tonser Emma na Moze....!!!!
 Dumy aka Baba Aayan
Si kwa mwili huu ule chakula kiduchu..mlinz
 wangu binafsi Mwarabu akitendea haki mwili wake...!
 
 kinywaji hicho kupata burudana toka kwa wasanii wawapendao,tulianzia Dasr
na leo ilikuwa ni ndani ya jiji la miamba,Mwanza
 and to be honest,nimeipenda hali ya hewa ya Mwanza.
tazama picha chache baada ya kuwasili,tuliongozana pia na Madee.