Pages

Thursday, April 17, 2014

HUYU NDO DEMU WA KIBONGO KUTOKA MWANZA ALIYEFANYA VIDEO NA RICK ROSS

 


 


CYNTHIA MASASI (TANZANIA) 

Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani.Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini

Marekani.Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross na
wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft Rick Ross,Juelz Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see it ya Young Joc.

Wednesday, April 9, 2014

Alichokisema Dudubaya baada ya kudaiwa kumkata sikio mama yake mkubwa.

dudu
 Jana April 08 kupitia You heard Soud Brown ali-amplify taarifa za Dudubaya kumkata sikio mama yake mkubwa huku sababu ikielezwa kuwa anamhisi mama yake huyo anamroga kimuziki,leo Dudubaya kapatikana na ameongelea juu ya jambo hili lilivyotokea.
Dudubaya ameanza kwa kusema>>’Hizo taarifa Soud mimi mwenyewe nimekuja kuwasha simu jana saa 9 kwa sababu juzi nilikuwa nimekesha au sio sasa kuwasha simu ndio naambiwa bwana unatafutwa hivi na hivi lakini umezima simu kwa lipi taarifa kama hizo mimi mwenyewe nimezisikia kama unavyoniambia na kwenye mtandao’
‘Nimepokea pia simu kutoka nchi mbalimbali washkaji zangu wanavyoniambia mimi nipo Shinyanga kwenye biashara zangu mimi siwezi kuishi kwa kujificha kama digidigi mimi ninafahamika halafu cha kushangaza kama Polisi Mwanza karibu Mapolisi wote wana namba zangu na hakuna hata mmoja aliyenipigia’
‘Mimi  nikiwa na kesi Polisi huwa napigiwa simu bwana eeh kuna tukio hili na hili tunakutafuta na ninaenda sasa nashangaa sijapigiwa simu na sijui kama kuna kesi kituo gani wala nini sasa hivi vitu hata sivielewi unajua nini mimi nina wasi wasi hii inshu na ndugu zangu binafsi’
‘Mimi ndugu zangu nawajua vizuri hawa wa ukoo wangu na nilikua siwajui zamani wakati mimi nahit kwenye muziki mwaka 2000 nilikua nawajali,nikienda mkoa huu mkoa nawajali lakini nawapa kipaumbele cha juu kabisa lakini nilivyokuwa naenda Mwanza kipindi cha nyuma ndugu zangu walikua wanaongea maneno kibao Ooh Dudubaya hajajenga kwao Kisesa hajafanya hivi’
‘Mwisho wa siku nilisikitika nilivyoenda kujenga nyumba kwa ajili ya mama yangu mzazi self container ya vyumba vinne sasa nilishangaa ndugu zangu wamenuna wamekasirika na hakuna anayenipigia simu kuniambia labda hongera wakati kabla walikua wanaongea maneno mengi’
‘Imetoka pale wakatumwa watu kwenda kupiga picha pale nyumbani wakapeleka kwenye gazeti la sani Watanzania walishawahi kuona hilo gazeti liliandikwa Dudubaya amtelekeza Mama yake mzazi hivi na hivi lakini walishindwa kupiga hilo jingo lililo kwenye renta’
‘Nilipokuja kumuuliza Yule Mwandishi wa lile gazeti akanambia Dudu mimi sijafika hata kwenu kuja kupiga picha waliofanya hivyo walaumu ndugu zako na jamaa zako na mimi sijaenda hata kwenu nikawajua hao ndugu lakini nikawapotezea’
‘Nawajua hao ndugu hata kwenye hili suala wanajaribu kutengeneza vitu Fulani kuwa huyu kafanya hivi kumkata sikio mama yake mkubwa kama kunichafulia nionekane kwenye jamii nionekane namna gani lakini kama kuna kesi Polisi na kama mama yangu huyo mkubwa kasema twende Mahakaman tutaenda Mahakamani lakini kitu nachoamini Yule ni mama yangu mimi ni mwane hivyo’.

Tuesday, April 8, 2014

HOT NEWSS::MSANII DUDUBAYA ANATAFUTWA NA POLISI KWA KUMKATA MAMA YAKE SIKIO

LEO MCHANA KUPITIA KIPINDI CHA XXL CLOUDS FM SEGMENT YA YOU HEARD SUDY BROWN ALIZUNGUMZIA SWALA LA MSANII NGULI NA WA KITAMBO DUDUBAYA KUMKATA SIKIO MAMA YAKE HUKO MWANZA,CHANZO CHA DUDUBAYA KUMKATA MAMA YAKE SIKIO NI KWAMBA MSANII HUYO ALIKUWA AKIMLALAMIKIA MAMA YAKE HUYO KWAMBA ANAMFANYIA VITENDO VYA KISHIRIKINA HIVYO KUMFANYA ASIENDELEEE,SUDY BROWN ALIFANIKIWA KUONGEA NA MMOJA WA NDUGU WA DUDUBAYA NA KUSEMA NI KWELI MSANII HUYO AMEFANYA KITENDO HICHO NA KUMUACHIA MAMA YAO JERAHA KUBWA,ZAIDI SIKILIZA HAPO CHINI

Monday, March 3, 2014

MWANZA NA MBEYA WAULA NA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI

 Mshindi wa Samsung Galaxy tab3 kutoka Tunduma Mbeya Vedastus Kalinga akionesha zawadi yake mara baada ya kukabidhiwa mwishoni mwa wiki jijini Mbeya.
 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti kanda ya kusini Lumuli Msika(kushoto)akimpongeza mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti Julius Chao kutoka Mbeya mara baada ya kumkabidhi king'amuzi katika hafla fupi iliyofanyika jijini Mbeya.
 Meneje Masoko wa eneo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Charles Masonga(kushoto) akimkabidhi zawadi ya king'amuzi mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti  Deus P. Mwikitalu kutoka Buhongwa jijini Mwanza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki,anayeshuhudia ni Meneja Mauzo wa eneo hilo. 

Meneje Masoko wa eneo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Charles Masonga (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu aina ya samsung Galaxy tab3 mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti Mwl. Jacob Nnko, 36,kutoka Nansio Ukerewe katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki

Saturday, February 22, 2014

TAZAMA PICHA ZAIDI YA 20 JINSI DIAMOND ALIVYOFUNIKA JIJINI MWANZA KWENYE SHOW YAKE

 Tukitoka hotelin kuelekea viwanja vya furahisha,ilipofanyikia show


 Zamu yetu ikawadia
















 Nikamaliza hivi...!!!
 Huyu binti mdogho kwa mapenzi kabisa 
,hakuona taabu kupenya msongamamno
 wa watu ili tu apate kunisalimia...

TAZAMA PICHA ZA DIAMOND NA CREW YAKE WAKIWA NDANI YA MWANZA


 Tulifikia kwenye hotel ya Gold crest,na bada ya
 kuwasili  kama ilivyo ada yangu,ilinibidi nifanye 
mazoez kwanza kuweka viungo sawa na wakati huo
 vijana wangu waliutumia,kupata chakula cha asubuhi.

 Dumy,Tonser Emma na Moze....!!!!
 Dumy aka Baba Aayan
Si kwa mwili huu ule chakula kiduchu..mlinz
 wangu binafsi Mwarabu akitendea haki mwili wake...!
 
 kinywaji hicho kupata burudana toka kwa wasanii wawapendao,tulianzia Dasr
na leo ilikuwa ni ndani ya jiji la miamba,Mwanza
 and to be honest,nimeipenda hali ya hewa ya Mwanza.
tazama picha chache baada ya kuwasili,tuliongozana pia na Madee.