KWA
MALAZI NA CHAKULA CHA UHAKIKA WAKATI WA KAZI NA MAPUMZIKO, KUMBI ZA
MIKUTANO ZA KISASA NA SHEREHE MBALIMBALI ZIKIWEMO HARUSI, BONGE LA DISCO
CLUB LA KIMATAIFA LENYE KILA SIFA SEKTA ZOTE ZIMEKAMILIKA.
HAPO SHIMONI PANAITWA CLUB LIPS.
RATIBA NI HII:- JUMATANO – USIKU WA MWAFRIKA IJUMAA – FLASHBACK NA NGOMA ZOTE ZA KISASA JUMAMOSI – NGOMA ZOTE ZA UKWELI KATIKA DJ MIX JUMAPILI – CLUB LIPS ITAKUKUMBUSHA MANGOMA YA LONG TIME
SIKUTAKA KUAMBIWA Nimezuka mie LEO....
KWA WALE MABOB WANA CHEMBA YAO' MAALUM BILA KOKORO.
WAPENDA KANDANDA KUNA BIG SCREEN MAANDHARI YA KIFAHARI NA YENYE KULIWAZA.
KIINGILIO NI SHS 5,000/- WANACHUO WAKIJA NA KITAMBULISHO NI SHS 3,000/-