Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa
na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium
Lager. Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika onyesho la leo ni, Diamond
Platinum, Ommy Dimpos, Linah, Chenge,
Temba, Shilole, Ally Kiba, Mr. Blue, Mwana FA, Young Killer, Ben Pol, Christian
Bella, Roma, Ney wa Mitego, Mkubwa na wanae, Barnaba, Belle 9, Rachel na Madee.
MSIMU WA SERENGETI FIESTA WAZINDULIWA JIONEE HAPA
No comments:
Post a Comment