Muonekano wa Stage mpya ya Skylight Band ndani ya Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza tarehe 1/1/2014 kwenye.
Super
model Neema Mbuya akiwa na chupa za Zappa , huku Skylight Band ilitoa
Free shots za Tequila kwa mashabiki 100 wa kwanza ndani ya hoteli ya
Gold Crest waliokuja kusheherekea mwaka mpya na Skylight Band jijini
Mwanza.
Mate lazima yakutoke kwa wale wapenzi wa hizi mambo.
Aneth
Kushaba AK 47 wa Skylight Band akijisevia Shots ya Tequila lango kuu la
kuingia ukumbi wa Nyerere ndani ya Gold Crest Hotel palipofanyika show
ya aina yake kwa wakazi wa Mwanza kusheherekea mwaka mpya.
Meneja
wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa wakazi wa
Mwanza ndani ya Gold Crest Hotel kwenye usiku maalum kwa wakazi wa
Mwanza kusherekea.
Pichani juu na chini Mama Amanda pamoja na Eddie wakiburudika na burudani ya Skylight Band.
Shabiki
wa Skylight Band akitunza mijihela kwa waimbaji wa band hiyo wakati wa
kusheherekea mwaka mpya ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao.
Skylight Band waliweka historia jijini Mwanza 2013-2014.
Rappa Joniko Flower akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza.
Mary Lucos akiimba na kucheza na mashabiki wake.
Ilikuwa
ni Surprise ilipotimia saa sita kamili kuamkia tarehe 2/1/2014
alizaliwa mtoto aliyeitwa Dr. Sebastian Ndege....Pichani ni Mama Amanda
pamoja na Justine Ndege wakifungua Champagne kwa ajili ya kumpongeza Dr.
Sebastian Ndege.
Bila kutegemea Dr. Sebastian Ndege alianza kuogeshwa maji na marafiki pamoja na mashabiki wa Skylight Band.
Marafiki wakiendelea kumwogesha......!!!
alijitahidi kukwepa lakini wapi....ilishindikana.
Meneja wa Kinywaji cha K-Vant Bw. James akiendelea kumimina maji kwa swahiba wake a.k.a JEMBE.
Marafiki wakimpongeza JEMBE.
Dr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE akipata Ukodak na marafiki ndani ya Gold Crest Hotel.
Brothers
for life........Dr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE akijaribu kumzuia mdogo
wake Justine Ndege kutaja majina yake ya Utotoni ikiwa ni kumbukumbu
yake ya kuzaliwa kwenye usiku maalum wa kusheherekea mwaka kwa wakazi wa
Mwanza ndani ya Gold Crest Hotel.
Justine
Ndege akitoa nenola shukrani kwa mashabiki wa Skylight Band wa jijini
Mwanza na kuwashukuru kwa kuoyesha ushirikiano na kuikubali Band hiyo
ambapo pia amewaahidi kuendelea kuwaletea burudani hiyo ndani ya jiji
hilo.
Wadau wakifurahia burudani ya Skylight Band.
Pichani juu na chini ni Mama Amanda na Justine Ndege wakigawa Champagne kwa wakazi wa Mwanza.
Matajiri wa jijini Mwanza Dr. Chacha pamoja na Kitama wakipata Ukodak.
Kwa mara ya kwanza ndani ya Mwanza kipaji kipya cha Skylight Band Hashim Donode akitoa burudani kwa wakazi wa Rock City.
Wadau wakisebeneka na sebene za Skylight Band.
Hapa mpaka kukuche....halali mtu...
Kudhihirisha
hilo mdau alikuja na mswaki wake kabisa, akimaanisha baada ya burudani
anasafisha mdomo wake na kuingia mjini kuendelea na misheshe zake za
kusaka Dough......!!!!
Joniko Flower na Sony Masamba wakipata Ukodak na mashabiki wao.
No comments:
Post a Comment