Pages

Tuesday, April 22, 2014

TAZAMA PICHA JINSI SKYLIGHT BAND WALIVYOFUNIKA MWANZA

DSC_0028
Wadau wa Jembe Beach Resort ndani ya kiota kipya cha kipekee chenye viwango vya kimataifa wakisubiri kuanza kwa burudani ya Skylight Band ndani ya jiji la Mwanza kwenye sikukuu ya Pasaka.
DSC_0031
Sam Mapenzi wa Skylight Band akishow love na wadau wa ukweli ndani ya Jembe Beach Resort.
DSC_0041
Mdau Rama wa Villa Park ya jijini Mwanza akipata Ukodak na Hellen Kazimoto wa Jembe Beach Resort wakati wa sherehe za Pasaka.
DSC_0052
Counter ya Jembe Beach Resort ikiwa imesheheni vinywaji vya kila aina.
20140420_153642
Mandhari ya muonekano wa garden ya Jembe Beach Resort iliyopo Malimbe jijini Mwanza.
DSC_0111
Mwanamuziki wa Skylight Band Winfrida Richard akipata ukodak kwenye upepo mwanana katika fukwe za Jembe Beach Resort.
DSC_0117
Digna Mbepera wa Skylight Band katika pozi matata kabla ya kupanda jukwaani kutoa burudani.
DSC_0096
Sehemu maalum iliyoandaliwa wakati wa Pasaka ndani ya kiota cha Jembe Beach Resort iliyopo Malimbe jijini Mwanza.
DSC_0057
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Ndege ambaye pia ni mmiliki wa Jembe Beach Resort, Dkt. Sebastian Ndege(kulia) wakihamaki jambo na mdau Rama wa Villa Park (katikati) pamoja na Mkuu wa Operations wa Jembe Beach Reort Hellen Kazimoto.
DSC_0126
Hashim Donode wa Skylight Band akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza huku akisindikizwa na Digna Mbepera pamoja na Winfrida Richard kwenye show iliyofana katika kiota cha Jembe Beach Resory sikukuu ya Pasaka jijini Mwanza.
DSC_0128
Raia wa kigeni wakishuhudia Live Music kutoka Skylight Band ndani ya Jembe Beach Resort.
DSC_0134
Baadhi ya wateja wa Jembe Beach Resort wakipata moja moto moja baridi huku wakishuhudia Live Match kwenye Big Screen.
DSC_0141
Divas wa Skylight Band Winfrida Richard na Digna Mbepera wakiwapa raha wakazi wa Mwanza kwenye stage ya aina yake ndani ya Jembe Beach Resort.
DSC_0153
Mjengo wa CLUB JEMBE uliopo ndani ya Jembe Beach Resort utakaofunguliwa hivi karibuni.
DSC_0159
Sam Mapenzi wa Skylight Band akifanya yake jukwaani wakati wa sikukuu ya Pasaka jijini Mwanza.
DSC_0180
Wadau wakishuhudia burudani ya Skylight Band ndani ya Jembe Beach Resort.
DSC_0575
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula (mwenye miwani) akisheherekea sikukuu ya Pasaka ndani ya Jembe Beach Resort na wadau.


DSC_0201
Vijana wa Skylight Band wakishambulia jukwaa.
DSC_0222
Wakazi wa Skylight Band jijini Mwanza wakiserebuka ndani ya Jembe Beach Resort.
DSC_0196
Sony Masamba akiwasebenesha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani).
DSC_0238
Winfrida Richard akikonga nyoyo za mashabiki wa Skylight Band ndani ya Jembe Beach Resort.
DSC_0249
Digna Mbepera akiburudisha mashabiki wa Skylight Band Mwanza.
DSC_0280
Aneth Kushaba AK47 akichapa mzigo kwa mashabiki wa Skylight Band wa jijini Mwanza ndani ya Jembe Beach Resort.
DSC_0298
Aneth Kushaba AK47 akisebeneka na Blogger wa jijini Mwanza maarufu kama Gsengo
DSC_0306
Burudani ikiendelea kwa mashabiki wa Mwanza.
DSC_0551
DSC_0333
Wadau wa ukweli wa Skylight Band ndani Jembe Beach Resort.
DSC_0349
Mrembo Anne akisebeneka ndani ya Jembe Beach Resort.
DSC_0374
Mashabiki wakijinafasi kwa raha zao.
DSC_0389
Mwanza are feeling the music….??
DSC_0404
Ooooo Yeah…..!!!
DSC_0410
Twende kazi sasa…
DSC_0733
DSC_0484
AISETU PEGU….N’DOSA…….Hashim Donode akiwapa raha mashabiki wa Mwanza.
DSC_0528
Watuache kwa raha zetu…..
DSC_0548
Mzuka mwanzo mwisho.
DSC_0553
DSC_0736
DSC_0488
Sony Masamba akiwajibika.
DSC_0533
Muguu mbele wa kulia nyuma….Yachuma nataka mukanda ya chuma chuma..!!
DSC_0595
DSC_0600
DSC_0797
Sam Mapenzi akiwafundisha kucheza style mpya ya “Kikuku” waliyoitambulisha jijini Mwanza kwa mara kwanza.
DSC_0773
Shabiki wa Skylight Band akifanya yake jukwaani…Kikuku…..Kwiyo kwiyo….!
DSC_0763
Jamani mumeeelewa staili ya “Kikuku Kwiyo Kwiyo”….!
DSC_0585
Wasi wasi wako tu…….Sony Masamba akiongoza safu ya Skylight Band.
DSC_0610
DSC_0803
Hapo ndio mambo yetu sebene haliendi bila huyu jamaa……Idrissa Drum akipika muziki wa Skylight Band jijini Mwanza.
DSC_0643
See gobe…Omo see gobe eh…See gobe…Omo see gobe eh..See gobe…Omo see gobe eh…See me see gbege…Ewa ba mi ri gobe…….!!Sam Mapenzi akicheza sambamba na mashabiki wa Skylight Band
DSC_0648
DSC_0695
DSC_0700
Hapana chezea Skylight Band.
DSC_0707
DSC_0714
DSC_0716
Shangwe zilirindima.
DSC_0726
DSC_0727
DSC_0440
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Entertainment Dr. Sebastian Ndege akimtambulisha mpiga gitaa mpya wa Skylight Band Tophy Bass kwa wakazi wa Mwanza.
DSC_0445
Tophy Bass akilikung’uta gitaa.
DSC_0457
Moja ya kiungo muhimu cha Skylight Band ni Tumba…..Daudi Tumba akifanya yake.
DSC_0676
Sound Engineer wa Skylight Band Ababu.
DSC_0592
DSC_0398
Hellen Kazimoto na Dj Frank wa CLUB JEMBE.
DSC_0577
Mstahiki meya wa Jiji la Mwanza Mh.Stanslaus Mabula, akipata Ukodak na Operations Manager wa MOblog Zainul Mzige ndani ya kiota cha Jembe Beach Resort.
DSC_0750
Mashabiki wa Skylight Band jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment