Masaa machache yamesalia kabla ya Kili Music Tour kutimua vumbi
katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo maandalizi yote yamekwisha kamilika
ikiwa ni pamoja na wasanii kufanya majaribio ya mwisho kabla ya show
kuanza. Mageti yanatarajiwa kufunguliwa saa tisa mchana na tayari tiketi
zimeanza kuuzwa nje ya uwanja wa CCM Kirumba.
Jukwaa litakalotumiwa na wasanii likiwa limezungukwa na ndege maarufu jijini Mwanza kwa jina la Bwana Afya
DJ Mafuvu Katika Sound Check
Christian Bella
Rich Mavoko akifanya soundcheck
Vanessa Mdee na madansa wake katika mazoezi ya kulitawala jukwaa
Majaribio ya ulinzi pia yanafanyika
No comments:
Post a Comment